YESU WASTAHILI

by BOAZ DANKEN

Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Tumwambie Bwana Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Mwambie tena Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Mwambie tena Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Aaaaah Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu ... Mwinue Bwana Yesu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Tunalibriki jina la Bwana Yesu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Wewe ni chaguo langu la milele Nikiwa na wewe nina amani tele Nainua mikono ninakuabudu Maisha yangu yote nayatoa kwako (rudia) Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Wewe ni Bwana unastahili Yesu Simba wa Yuda shina la Daudi Chipukizi la Yesu nani kama wewe Jiwe Kuu la pembeni tunakuabudu Yesu Tunainama tunainuka Twainua mikono tunakuabudu Tunainama tunainuka Twainua mikono tunakuabudu Tunainama tunainuka Twainua mikono tunakuabudu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu