Wa Kuabudiwa
by Christina Shusho
Wakuabudiwa,
wakuheshimiwa ni wewe Mungu
Wakupewa sifa, na utukufu,
ni wewe Mungu
Mungu mwenye nguvu,
wastahili heshima zote
Hakuna mwingine wa kulinganishwa na
wewe Mungu
Umesema wewe, jina lako
liko liliko ni we Mungu
Unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu
zetu Mungu
Ukisema ndiyo, nani awezaye kupinga?
Hakuna