Utukufu
by Ali Mukhwana
Utukufu na heshima ni zako Bwana
Ni zako Yahweh, ni zako usiyeshindwa
Utukufu na heshima ni zako
Ni zako usiyeshindwa
Wewe uliyenihesabia haki
Kwa neema yako, ni zako usiyeshindwa
Mnara wangu wa utukufu
Na kinga yangu, ni wewe usiyeshindwa
Utukufu na heshima ni zako
Ni zako usiyeshindwa
Haki yako Bwana yanitangulia
Utukufu wako wanifuata
Ni wewe usiyeshindwa
Ninayemtegemea ni wewe
Ngao yangu ni wewe
Ni wewe usiyeshindwa
Utukufu na heshima ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
Utukufu na heshima ni zako Bwana
Ni zako Yahweh, ni zako usiyeshindwa
Uliyenichagua ni wewe
Uzima ni wewe
Ni wewe usiyeshindwa
Anilindaye na mabaya ni wewe
Ni wewe Bwana
Ni wewe Bwana usiyeshindwa
Utukufu na heshima Bwana, ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
Utukufu na heshima ni zako Bwana
Ni zako Yahweh, ni zako usiyeshindwa