Umeniponya Roho

by Home Youths for Christ

Nainua macho yangu Nitazame milimani Msaada wangu watoka wapi Bali ni watoka kwako yesu Yesu wangu umeniponya roho yangu Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru Nainua macho yangu Nitazame marafiki Usaidizi wangu watoka wapi Bali ni watoka kwako yesu Yesu wangu umeniponya roho yangu Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru Nainua macho yangu Nitazame familia yangu Uponyaji wangu watoka wapi Bali ni watoka kwako yesu Yesu wangu umeniponya roho yangu Wewe kweli ni wa ajabu na Mimi nitakushukuru