UMEKUWA MWEMA KWANGU
by ...
Umekuwa Mwema kwangu
Nashindwa kueleza
(Ee Bwana eeh Bwana)
Umekuwa Mwema kwangu
Nashindwa kueleza
(Ee Bwana eeh Bwana)
Utukufu wote Baba
tunakupa
Utukufu wote Baba tunakupa
Utukufu wote Baba
tunakupa
Utukufu wote Baba tunakupa