Uinuliwe Yesu

by Pastor Epa

Eeh Bwana katika miungu yote Ni nani aliye kama wewe Mtukufu katika utakatifu Mwenye Kuogopwa katika sifa Uliyevuma kwa upepo wako Bahari ikafunikiza adui Wakazama kama risasi Risasi ndani ya maji makuu Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema