TUMEKUJAKUSEMA ASANTE

by DR IPYANA AND SARAH KEN

Nimekuja kusema asante Nimekuja kusema asante Asante! Ahsante! Nimekuja kusema, ahsante Nimekuja kusema ahsante Shukrani zangu, nazileta kwako Shukrani zangu, Baba zipokee Moyo wangu washukuru, nafsi yangu yakuhimidi Baba Umetutoa mbali, umetupeleka mbali Tumeona mkono wako, ukiwa pamoja nasi