SHUSHA NYAVU

by CHRISTINA SHUSHO

Alipokwisha kunena alimwambia Simoni Toweka mpaka kilindini kashushe nyavu zenyu Yesu lipokwisha kunena alimwambia Simoni Toweka mpaka kilindini kashushe nyavu zenyu Bwana mkubwa tumefanya kazi ya kutosha usiku kucha Bwana mkubwa tumefanya kazi mpaka tusipate kitu Bwana mkubwa tumefanya kazi ya kutosha usiku kucha Bwana mkubwa tumefanya kazi mpaka tusipate kitu Lakini kwa neno lako Nashusha nyavu, nashusha nyavu Nashusha nyavu, nashusha nyavu Bwana kwa neno lako Nashusha nyavu, nashusha nyavu Nashusha nyavu, nashusha nyavu Najua nikiwa nawe, Bwana nitasimama tena Hata nikilemewa, wewe utanishika tena Hata vita inijie, Bwana utanipigania Watesi wajipange, Bwana utapigana nao Nimetoa mwenzenu nimetoa Nimetoa na mafuta nikapewa Nikapanda na mbegu nikapanda Nikapanda ila mvua haikunyesha Bwana mkubwa tumefanya kazi ya kutosha usiku kucha Bwana mkubwa tumefanya kazi mpaka tusipate kitu Bwana mkubwa tumefanya kazi ya kutosha usiku kucha Bwana mkubwa tumefanya kazi mpaka tusipate kitu Lakini kwa neno lako Nashusha nyavu, nashusha nyavu Nashusha nyavu, nashusha nyavu Bwana kwa neno lako Nashusha nyavu, nashusha nyavu Nashusha nyavu, nashusha nyavu Kwa neno lako, Bwana kwa neno lako Yesu tuma neno Nashusha nyavu, nashusha nyavu Nashusha nyavu, nashusha nyavu Nashusha nyavu, nashusha nyavu Nashusha nyavu, nashusha nyavu