REJESHA

by NJOKI MUNYI

Ijapo safari iwe na ugumu Utanishika mkono Ijapo adui aje kwa vishindo Bado Wewe uko na mimi Ijapo safari iwe na huzuni Utayapanguza machozi Ijapo adui aje kwa vishindo Bado Wewe uko nami Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Ijapo safari iwe na ugumu Utanishika mjkono Ijapo adui aje kwa vishindo Bado Wewe uko nami Ijapo safari iwe na huzuni Utayapanguza machozi Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Ijapo safari iwe na giza Utaangaza njia yangu Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Ijapo safari iwe na ukame Wewe ni maji ya uzima Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Akisema ndio hakuna wa kupinga Nitasimama kwa agano Lake Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Akifungua mlango hakuna atakaye funga Amesema amesema, hakuna wa kupinga Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Akikubariki hakuna wa kupinga Simama leo kwa hilo neno Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Akikuponya wewe umepona Simama leo kwa ahadi zake Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Umeyarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Umeyarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Umeyarejesha (Umeyarejesha) Maono yangu (Umeyarejesha) Umeyarejesha (Umeyarejesha) Na ndoto zangu (Umezirejesha) Umezirejesha (Umezirejesha) Na afya yangu (Umeirejesha) Umeirejesha (Umeirejesha) Familia yangu (Umeirejesha) Nimeona Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Umeyarejesha (Umeyarejesha) Familia yangu (Umeirejesha) Umeirejesha (Umeirejesha) Na ndoto zangu (Umezirejesha) Umezirejesha (Umezirejesha) Na afya yangu (Umeirejesha) Umeirejesha (Umeirejesha) Na ndoto zangu (Umezirejesha) Umezirejesha (Umezirejesha) Furaha yangu (Umeirejesha) Umeirejesha (Umeirejesha) Na mali yangu (Umeirejesha) Umeirejesha (Umeirejesha) Watoto wangu (Umewarejesha) Umewarejesha (Umewarejesha) Umewarejesha (Umewarejesha) Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Umeyarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Umeyarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu