Rafiki Mwema

by Groupe Chandelier de Gloire

Kuna yule aliyenipenda Si kwa ajili ya mali Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine Huyu halali wala hasizinzii Hata leo hajawai kunichoka eeeh Sikutafuta ni yeye alikuja kwangu Ingawazaje makosa yangu Yesu alinipenda wa kwanza Nikamwamini yeye kanisamehe dhambi Upendo wake Yesu yeye wanishangaza Yesu huyu Yesu rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninakupenda Yesu huyu Yesu rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninakupenda Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema