Nje ya Lango

by Florence Mureithi

Nitamfuata nje ya lango, Nikifurahia aibu ya msalaba. Aliyoibeba Mwanakondoo, Nitamfuata nje ya lango la mji Nitamfuata nje ya lango, Aliyefanyika dhabihu kwa msalaba. Alipoangikwa Mwanakondoo, Nitamfuata nje lango la mji Ameingia, mahali patakatifu, Kwa Damu Yake, tuna ukamilifu. Ameingia, mahali patakatifu, Kwa Damu Yake, tuna ukamilifu Ameyachukua, Masikitiko yetu. Amejitwika, Huzuni zetu. Kajeruhiwa, Kwa makosa yetu. Alichupuliwa, Kwa maovu yetu