Nitamwimbia Bwana Kwani yeye Ni mwema
by Africa Lets Worship
Nitamwimbia Bwana kwani Yeye Mwema aah
Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema
Nitamsifu Bwana Kwani Yeye ni Mwema
Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema
Yahweh Yahweh
Hakuna Muweza Yote kama Yeye
Dunia inamshangilia ayee