NITAMWIMBIA BWANA KWANI YE NI MWEMA

by AFRCA

Nitamwimbia Bwana kwani Yeye Mwema aah Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema Nitamsifu Bwana Kwani Yeye ni Mwema Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema Yahweh Yahweh Hakuna Muweza Yote kama Yeye Dunia inamshangilia ayee Nitamwimbia Bwana kwani Yeye Mwema aah Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema Nitamsifu Yeye Kwani Yeye ni Mwema Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema Nitamsifu Yahweh Kwani fadhili zake za milele Yeye ni Mwema aah, Yeye ni Mwema Nitamwinua Yahweh kwani Yeye ni mwema Yahweh Yahweh Hakuna Muweza Yote kama Yeye Dunia inamshangilia ayee Mwambie Hakuna Muweza Yote kama Yeye Dunia inamshangilia ayee