Niseme Nini
by Dr Ipyana
Uliyoyatenda kwangu ni mengi
Shuhuda Zako hazielezeki
Umefanya hili, Umefanya lile, Umenipa jina
Baba ninakushukuru
Uliyoyatenda kwangu ni mengi
Your testimonies are indescribable
Shuhuda Zako hazielezeki
Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina
Baba ninakushukuru
Bali ninakushukuru