NISEME NINI
by .
Uliyoyatenda kwangu ni mengi
Shuhuda zako hazielezeki
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Niseme nini? Siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Umefanya mengi, siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini, kwa yote umetenda?
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini, kwa yote umetenda?
Baba ninakushukuru
Baraka zako hazihesabiki
Wema wako hauzoeleki
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Bali ninakushukuru
Baba ninakushukuru
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Umefanya hili, umefanya lile
Utafanya na lile, Bado ninakuamini