NIKUREJESHEE

by ....

Nasikia kuitwa na sauti yake Anasema njoo kwangu nikurejeshee Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu Anasema njoo kwangu nikurejeshee Nasikia kuitwa na sauti yake Anasema njoo kwangu nikurejeshee Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu Anasema njoo kwangu nikurejeshee Nasikia kuitwa na sauti yake Anasema njoo kwangu nikurejeshee Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu Anasema njoo kwangu nikurejeshee Nasikia kuitwa na sauti yake Anasema njoo kwangu nikurejeshee Yaliyoibiwa, yaliyochukuliwa na mwovu Anasema njoo kwangu nikurejeshee CHORUS nikurejeshee Nikurejeshee Anasema njoo kwangu nikurejeshee Amani ya moyo iliyotoweka Usiitafute kwengine Kwake yesu utaipata Furaha ya kweli iliyotoweka Usiitafute kwengine Kwake yesu utaipata Amani ya moyo iliyotoweka Usiitafute kwengine Kwake yesu utaipata Furaha ya kweli iliyotoweka Usiitafute kwengine Kwake yesu utaipata Ndipo hayo mema yatakujilia Atarejesha vyote adui alivyochukuaaa Ndipo hayo mema yatakujilia Atarejesha amani ya moyo na furaha iliopotea nikurejeshee Nikurejeshee Anasema njoo kwangu nikurejeshee kibali kwenye Huduma yangu Amani kwenye familia yako Anasema njoo kwangu nikurejeshee.. nikurejeshee nikurejeshee Nikurejeshee Anasema njoo kwangu nikurejeshee