Mungu wetu ni wa Ajabu

by ...

Mungu wetu ni wa Amani Mungu wetu ni wa amani Mungu wetu ni wa amani Kanitoa wapi kaniweka wapi Kanitoa chini kaniweka kati Kanitoa kati kaniweka juu Mungu wetu ni wa amani Mungu wetu ni wa amani Mungu wetu ni wa amani Kanitoa wapi kaniweka wapi Kanitoa chini kaniweka kati Kanitoa kati kaniweka juu Mungu wetu ni wa upendo Mungu wetu ni wa upendo Mungu wetu ni wa upendo Kanitoa wapi kaniweka wapi Kanitoa nursery, kaniweka primary Kanitoa primary kaniweka secondary Mungu wetu ni wa upendo Mungu wetu ni wa Baraka Mungu wetu ni wa Baraka Mungu wetu ni wa Baraka Kanitoa wapi kaniweka wapi Kanitoa primary kaniweka secondary Kanitoa seconday akiniweka chuo kikuu Mungu wetu ni wa Baraka