Mungu Mwenye Nguvu
by Minister Martin
Mungu Mwenye Nguvu
Mwenye Utukufu
Bwana wastahili kuhumidiwa
Wewe Uketiye Kitini Cha enzi
Bwana watawala Milele yote
Kwako iwe utukufu na heshima na Adhama wastahili
Ewe Yahweh
Ewe Bwana Mwenye Nguvu utendaye maajabu utukuzwe
Hakuna Mungu kama wee
Oooh ooh ooh