Moyo Wangu sifu Bwana
by ......
Moyo wangu sifu Bwana, sifu Bwana
Siku zote, Halleluyah Hallelujah
Imba imba, anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe, anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana,
Shangilia ametenda mema
Yesu Bwana mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina aah!