Moyo Wangu Na Ukuinue Kila wakati

by ege

Roho wako Mwenyezi amenifanya jinsi nilivyo Pumzi yako uhai wangu umefufua mifupa mikavu Uhai umenipa Baba Yangu, Umetuliza dhoruba wakati wa mawimbi Moyo wangu na ukuinue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Moyo wangu naaah ukuinue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Egemeo Baba yangu umbali huu ninashukuru Mwambaa aah, dunia mbingu ni mashahidi Umbali huu ni dhahiri ni wewe Bwana wa mabwana Kwa makubwa na madogo ni wewe Bwana wa mabwana Moyo wangu na ukuinue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Moyo wangu naaah ukuinue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Moyo wangu na ukuinue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Moyo wangu naaah ukuinue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Ninakuinua inua aah Umetenda mema mema Bwana Ni wewe wewe ni Jehovah Shammah Ni wewe wewe ni Jehovah Jireh Na bado wazidi kuwa yule Mungu umekuwa Shammah we ni Jehovah Jireh