Mfalme mwema

by ..

Mfalme Mwema,Mwaminifu Baba Mweza yote Una nguvu Haushindwi Pokea utukufu Twakupa Heshima na sifa zote Ewe Mungu Umetukuka Mtakatifu , mtakatifu Bwana wa majeshi Dunia Yote imejawa na utukufu wako Ewe Mungu, umetukuka Ewe Mungu, umetukuka Ewe Mungu, umetukuka Ewe Mungu, umetukuka