Manukato
by Fanuel Sedekia
Umeweka wimbo
Kinywani mwangu
Bwana niimbe
Sifa zako
Umeniumba
Ili nikuabudu
Nakuabudu
Nakuabudu
Wewe uketie juu
Ya vyote
Sifa hizi
Zifike kitini mwako
Wimbo huu ukawe
Manukato
Wewe uketie juu ya vyote
Sifa hizi Zifike kitini mwako
Wimbo huu ukawe
Manukato
Wewe ni niko ambae
Ni niko
Milele ilopita
Na Milele ijayo
Sioni cha kunishibisha
Moyo wangu
Badala ya kumwabudu
Mtakatifu