KATIKATI YA MIUNGU

by Ephraim Ezekiel

Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe (Mungu kama wewe) Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe (Mungu kama wewe) Mungu kama wewe, Mungu kama wewe Baba (Baba aah), Baba (Baba aah) Yesu (Yesu uuu), Yesu (Yesu uuu) Katika ya mataifa yote sijaona Mungu kama wewe