Inanibidi Niseme

by Angela

Inanibidi niimbe matendo yako bwana, inanibidi niseme matendo yako bwana, ooh! wewe ni Mungu wewe juu ya miungu haleluya wewe ni bwana Juu ya mabwana ooho, ufalme wako wadumu milele haleluya