Huniachi

by Kagame

Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi naiweka imani kwako baba