HAKUNA USILOLIWEZA

by YEYE TU

Mungu wa wote wenye mwili Je kuna gumu lolote usiloliweza Tazama wewe ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili Je kuna gumu lolote usiloweza Je kuna neno, kuna neno kuna neno Usiloliweza Hakuna usiloliweza Hakuna usiloliweza