EGEMEO

by ..

Roho wako mwenyezi Amenifanya jinsi nilivyo Pumzi yako, uhai wangu Umefufua mifupa mikavu Uhai umenipa baba yangu Umetuliza dhoruba Wakati wa mawimbi Moyo wangu na, ukuiniue wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa, moyo wangu