Bwana Yesu

by Eunice Njeri

Bwana Yesu Bwana Yesu Kimbilio langu ni wewe baba Tumaini langu liko kwako Yahweh Mimi sina uwezo Sina Bwana mwingine ila wewe mimi sina uwezo sina Bwana mwingine ila wewe