Bwana U sehemu Yangu
by ,,
Bwana u sehemu yangu Rafiki yangu Wewe,
Katika safari Yangu; Tatembea na Wewe
Pamoja na wewe
Katika safari yangu, Tatembea na wewe.
Mali hapa sikutaka; Ili Niheshimiwe;
Na yanikute mashaka, Sawasawa na wewe
Niongoze safarini, Mbele Unichukue;
Mlangoni Mwa mbinguni, Niingie na Wewe.