Amenisamehe
by Emachichi
Amenisamehe (amenisamehe)
Katika jina lake Yesu, amenisamehe
Amenibariki, amenibariki Amenibariki jamani, amenibariki Katika jina lake Yesu, amenibariki
Ameniokoa, ameniokoa
Katika jina lake Yesu, ameniokoa
Amenifariji, amenifariji Amenifariji jamani, amenifariji Katika jina lake Yesu amenifariji
Kanipa Amani, Kanipa Amani
Kanipa Amani, Kanipa Amani
Katika jina lake Yesu Kanipa Amani
Katika jina lake Yesu Kanipa Amani